Mateo 5:38-39
Mateo 5:38-39 SRB37
Mmesikia, ya kuwa ilisemwa: Jicho kwa jicho, jino kwa jino! Lakini mimi nawaambiani: Msibishane na mbaya! Lakini mtu akikupiga kofi shavu la kuume, mgeuzie la pili, alipige nalo!