YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Kutorokea MisriSample

Kutorokea Misri

DAY 1 OF 7

### Nchi Isiyojulikana Wiki hii tunajifunza kuhusu wakati ambapo Yosefu na Maria walipaswa kukimbia Misri na kujificha kwa muda. Yesu alikuwa bado mdogo sana kama Maria na Yosefu. Lakini mfalme Herode hakutaka mashindano yoyote kwa hiyo alikuwa akijaribu kuharibu mfalme aliyezaliwa kwa kuwaangamiza watoto wote wa kiume chini ya umri wa miaka miwili. Kwa hakika hii ilikuwa wakati wa kutisha sana kwa Yosefu na Maria. Walikuwa na mtoto aliyezaliwa na sasa wangepaswa kwenda nchi ambayo hawakufahamu na kukaa mpaka ilikuwa salama tena kurudi. Ilimaanisha kwamba wangepaswa kuamini na kutegemea Bwana kuwasaidia katika yote. Mungu alijitokeza kuwa mwamba, ngome wa imara kwa Yosefu, Maria na Yesu. Anaendelea kufanya hivyo kwa sisi kama tunamwamini Yeye katika hali zetu ngumu. Leo tafakari kwa maisha yako, jinsi mara kwa mara unapotafuta njia ya kutorokea misri. Chochote kinacho kutorosha Mungu yupo nawe hata ukiwa katika hali ya kuwa Misri popote ulipo.

Scripture

Day 2

About this Plan

Kutorokea Misri

Muda mfupi baada ya ziara ya Wayahudi, ambao walijua kwamba Mfalme Herode alitaka kuua watoto wa eneo hilo, malaika alimtokea Yosefu katika ndoto kumwambia aende Misri na Maria na mtoto wa kijana Yesu. Swali 1: Ni nini u...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy