Soma Biblia Kila Siku 10/2024Sample

Mungu tangu mwanzo aliahidi kuleta agano jipya, maana lile la kwanza halikutimiza makusudi yake, kwa kuwa watu walilivunja. Hili jipya ni bora zaidi, maana linategemea ahadi bora zaidi, na huduma inayotolewa na Yesu, mhudumu wake, ni bora zaidi. Tokeo ni uhusiano mpya kati ya Mungu na watu wote bila kujali kabila au taifa. Mwanadamu atazaliwa upya kwa agano hilo kuwekwa ndani ya moyo wake. Kumjua Mungu ni kuwa na uhusiano wa karibu sana naye, na wa kibinafsi. Ni zaidi ya kufahamu habari zake.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 10/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania, Kutoka na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Rebuilt Faith

Sharing Your Faith in the Workplace

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Awakening Faith: Hope From the Global Church

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

You Say You Believe, but Do You Obey?

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving
