Soma Biblia Kila Siku 11/2020Sample

Hapa tunakumbushwa tena juu ya nafasi nzuri tuliyopewa kama Wakristo kwa rehema zake Mungu. Tumepewa sifa kubwa za ajabu: Ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu ... ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu (m.9-10). Lakini ni lazima pia tuelewe kwamba kwa nafasi hiyo tumepewa wito maalumu kwa maisha yetu! Yaani, tuwe mashahidi wa Yesu kwa maneno na matendo! Mpate kuzitangaza fadhili zake(m.9). Wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu (m.12). Kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu(m.15); Waheshimuni watu wote(m.17).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Death Is Not the End: Healing & Hope Through Grief

Run Well: Insights From Hebrews 12

Who Do You Think You Are? The Lies We Believe About Ourselves & the Truth That Sets Us Free

Jesus Is…The Great I Am

Worship Is More Than a Song!

Wisdom for Life – Proverbs

Lessons From the Story of Gideon

Growing in Faith | Mini Devotions for Women

God’s Ongoing Work in Each of Us
