1
Marko MT. 10:45
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Kwa maana Mwana wa Adamu nae hakuja kukhudumiwa bali kukhudumu, na kutoa roho yake iwe dia ya wengi.
ប្រៀបធៀប
រុករក Marko MT. 10:45
2
Marko MT. 10:27
Yesu akawakazia macho, akanena, Kwa wana Adamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.
រុករក Marko MT. 10:27
3
Marko MT. 10:52
Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Marra akapata kuona tena; akafuata Yesu njiani.
រុករក Marko MT. 10:52
4
Marko MT. 10:9
Bassi alivyoviunganisha Mungu, mwana Adamu asivitenganishe.
រុករក Marko MT. 10:9
5
Marko MT. 10:21
Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa neno moja Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni: ukiisha, njoo ukajitwike msalaba wako unifuate.
រុករក Marko MT. 10:21
6
Marko MT. 10:51
Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyieni? Yule kipofu akamwambia, Rabbi, nipate kuona tena.
រុករក Marko MT. 10:51
7
Marko MT. 10:43
Lakini haitakuwa hivi kwemi; bali mtu atakae kuwa mkubwa kwenu, atakuwa mkhudumu wenu
រុករក Marko MT. 10:43
8
Marko MT. 10:15
Amin, nawaambieni, Yeye yote asiyeukubali nfalme wa Mungu kama mtoto mchanga hatauingia kabisa.
រុករក Marko MT. 10:15
9
Marko MT. 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho: na wa mwisho wa kwanza.
រុករក Marko MT. 10:31
10
Marko MT. 10:6-8
Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, Mungu aliwafanya mtu mume na mtu mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe: na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
រុករក Marko MT. 10:6-8
គេហ៍
ព្រះគម្ពីរ
គម្រោងអាន
វីដេអូ