YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 3:25-26

Warumi 3:25-26 SWZZB1921

ambae Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa damu yake, kwa njia ya imani, illi aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia dhambi zilizotangulia, katika uvumilivu wa Mungu: illi aonyeshe haki yake wakati huu, awe mwenye baki na mwenye kumpa haki yeye aaminiye kwa Yesu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Warumi 3:25-26