YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 31:31-32

Yeremia 31:31-32 SWC02

Siku zinakuja ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na watu wa Yuda. Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao nilipowatoa kwa mukono wangu kutoka Misri; agano hilo walilivunja, ingawa mimi nilikuwa Bwana wao.

Free Reading Plans and Devotionals related to Yeremia 31:31-32