Mshangilieni BWANA, enyi nchi zote; Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake mkiimba; Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake. Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Read Zaburi 100
Share
Compare All Versions: Zaburi 100:1-5
Save verses, read offline, watch teaching clips, and more!
YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy
Home
Bible
Plans
Videos