YouVersion Logo
Search Icon

Yn 10:22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42

Yn 10:22 SUV

Basi huko Yerusalemu ilikuwa Sikukuu ya Kutabaruku; ni wakati wa baridi.

Yn 10:23 SUV

Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.

Yn 10:26 SUV

Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu.

Yn 10:27 SUV

Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.

Yn 10:30 SUV

Mimi na Baba tu umoja.

Yn 10:31 SUV

Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

Yn 10:34 SUV

Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?

Yn 10:35 SUV

Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka)

Yn 10:37 SUV

Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini

Yn 10:39 SUV

Wakatafuta tena kumkamata; lakini akatoka mikononi mwao.

Yn 10:42 SUV

Nao wengi wakamwamini huko.

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy