1
Warumi 12:2
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Wala msifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufunya upya nia zenu, mpate kujua kwa hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Compare
Explore Warumi 12:2
2
Warumi 12:1
BASSI, nawasihi, ndugu, kwa huruma zake Mungu, mtoe miili yenu iwe dhabihu hayi, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ibada yenu yenye maana.
Explore Warumi 12:1
3
Warumi 12:12
kwa tumaini, mkifurahi; katika shidda, mkivumilia; katika kusali, mkidumu
Explore Warumi 12:12
4
Warumi 12:21
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Explore Warumi 12:21
5
Warumi 12:10
Kwa pendo la udugu, mwe na shauku ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu
Explore Warumi 12:10
6
Warumi 12:9
Pendo niwe nalo pasipo unafiki; mkichukia lililo ovu, mkiambatana na lililo jema.
Explore Warumi 12:9
7
Warumi 12:18
Kama yumkini, kwa upande wenu, mwe na amani na watu wote.
Explore Warumi 12:18
8
Warumi 12:19
Msijilipize kisasi, wapenzi, bali ipisheni ghadhabu; maana imeandikwa, Kisasi juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
Explore Warumi 12:19
9
Warumi 12:11
kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana
Explore Warumi 12:11
10
Warumi 12:3
Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia killa mtu alioko kwenu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyoamgawi killa mtu kadiri ya imani.
Explore Warumi 12:3
11
Warumi 12:17
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Andaeni yaliyo mema machoni pa watu wote.
Explore Warumi 12:17
12
Warumi 12:16
Mwe na nia moja ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.
Explore Warumi 12:16
13
Warumi 12:20
Bassi adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivi, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Explore Warumi 12:20
14
Warumi 12:14-15
Wabarikini wanaowafukuzeni; barikini, wala msilaani. Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.
Explore Warumi 12:14-15
15
Warumi 12:13
kwa mahitaji ya watakatifu, mkiwashirikisha; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi.
Explore Warumi 12:13
16
Warumi 12:4-5
Kwa maana kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, navyo viungo vyote havitendi kazi moja; vivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na sisi sote tu viungo killa mmoja kwa wenzake.
Explore Warumi 12:4-5
Home
Bible
Plans
Videos