Bassi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako maliaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu. Lakini ikiwa ni kwa neema yake, haiwi kwa matendo tena, au hapo neema isingekuwa neema; na ikiwa ni kwa matendo, haiwi neema tena, au hapo matendo yasingekuwa matendo.