1
Mwanzo 11:6-7
Neno
NEN
BWANA akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
เปรียบเทียบ
สำรวจ Mwanzo 11:6-7
2
Mwanzo 11:4
Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina, tusije tukatawanyika duniani kote.”
สำรวจ Mwanzo 11:4
3
Mwanzo 11:9
Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo BWANA alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo BWANA akawatawanya duniani kote.
สำรวจ Mwanzo 11:9
4
Mwanzo 11:1
Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
สำรวจ Mwanzo 11:1
5
Mwanzo 11:5
Lakini BWANA akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu walikuwa wanaujenga.
สำรวจ Mwanzo 11:5
6
Mwanzo 11:8
Hivyo BWANA akawatawanya kutoka mahali pale waende duniani kote; nao wakaacha kuujenga huo mji.
สำรวจ Mwanzo 11:8