1
Mwanzo 10:8
Neno
NEN
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa shujaa mwenye nguvu duniani.
เปรียบเทียบ
สำรวจ Mwanzo 10:8
2
Mwanzo 10:9
Alikuwa mwindaji hodari mbele za BWANA; Ndiyo maana watu husema, “Kama Nimrodi, mwindaji hodari mbele za BWANA.”
สำรวจ Mwanzo 10:9