Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

KutakaMfano

The Quest

SIKU 6 YA 7

Soma Mathayo 8:23-27.



Kama fikra zako hazijaloweshwa na maji ya ziwa, kama hazijakupigishwa magoti au kupata home ya baharini, utahitaji kwenda kusoma sehemu hiyo tena.



Kuijua habari vyema kunaweza kukawa na athari za kuizima.



Dhoruba kali. Ile inayoweza kukuua. Dhoruba inayoweza kuwafanya mabaharia wazoefu wakafika mwisho wa kamba zao na kuzama na mtumbwi kama mtumbwi wa kuchezea watoto. Dhoruba ambayo ina kelele kiasi cha kutomsikia mtu aliye jirani na wewe akipiga kelele. Mawimbi yakipiga kingo za mtumbwi na kufanya dimbwi ndani ya mtumbwi. Mtumbwi ukiegemea kushoto. Wimbi jingine. Upepo ukiusukuma mtumbwi, na wewe ukisukwa sukwa kwa wenzako kama mchezo.



Na Yesu amelala usingizi mzito.



Angalia amri ya kipekee. Yesu hakutuliza dhoruba ndipo akauliza swali. Aliuliza swali ndipo akatuliza bahari. Mtazamo wa kushangaza wa wanafunzi wake ni kwamba yawezekana hakujali kuamka na kuuliza swali. Aliuliza, ndipo akanyanyuka na kukemea upepo na bahari.



Swali lake kwa wanafunzi ni kiulizo chetu cha nne cha matengenezo. Hebu chukua muda kukumbuka kwa ufupi kama tulivyoona siku ya kwanza.Kwa nini mmekuwa waoga?



Sehemu ya kubadili mtazamo wetu katika imani ni kushughulika na hofu amazo zinatishia kutudhoofisha au kututoa kwenye njia. Hofu zetu zinaweza kutofautiana, lakini ni wazi hakuna anayeogopa tuu. hata hivyo, katika njia za ajabu hofu ya mara kwa mara inaweza kushindwa.



Ukitambua kwamba hofu, kama uliikaribisha, haina mipaka na inaweza kukuangusha au kuturudisha nyuma kama watoto na jitu kubwa.



Maneno ya Mungu kwa Kaini katika Mwanzo 4:7b yanaweza kusikika sahihi. Hofu inakuotea mlangoni. Dhambi ilifanya, pia,lakini pia yawezekana hatua yetu ya kwanza kupata uhuru ni kutambua dhambi zinazotuvizia zitokanazo na hofu. Shauku ya hofu ilikuwa kwa ajili yangu. Neno karibu mlangoni mwangu ilianza kuwa na alama ya kuuliza. Nikaribishe nini? Nikatae nini?Hofu inakaribia, tayari kupiga. Tuaicha itumeve wazima?



Mungu anatutaka wafuasi wake tusiipe nafasi hofu.


siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

The Quest

Katika siku hizi 7 za kusoma na kujifunza, Beth Moore anatumia maswali kutoka katika Maandiko Matakatifu ili kukuongoza kwenye uhusiano wa ndani zaidi na Yeye anayekujua vizuri. Alama za uandishi zilizopotoka mwisho wa s...

More

Tungependa kumshukuru Beth Moore na LifeWay Women kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi tembelea: http://www.lifeway.com/thequest

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha