Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

KutakaMfano

The Quest

SIKU 3 YA 7

Kuhusu mahusiano ya karibu na Mungu, swali la msingi ni " Wewe ni nani, Bwana? anaandika katika mchanga mbichi wakati wa mawimbi: Mimi ni nani, Bwana?" Kushikilia kwamba suali la pili halina maana kabisa inaweza kuwa na utukufu katika kusudi lake, lakini si la kibiblia. Mungu alitumia wino mwingi katika maandiko kujibu swali ambalo, japo inaweza kuwa mbali, lakini umbali usiona na maana. Kwamba mara nyingi hutumia swali la pili—Mimi ni nani?—ili kuwaleta watu kwenye swali la kwanza—Mungu ni nani?—ni ushuhuda kwa rehema na uvumilivu wake. Vile tunavyoamini Mungu alivyo haimbadilishi hata kidogo, lakini utambulisho wetu na hatima yetu husimamia matumaini yao.



Hebu angalia vizuri Kumbu Kumbu la Torati 33.



Urithi wetu wa imani umehifadhiwa katika Agano la Kale ni akaunti ya benki ya utajiri ambao huweki kumaliza katika maisha ya kujifunza. Tuna bahati ya kuishi katika upande uliokamilika wa kazi ya ukombozi ya Yesu, mwanakondoo wa Mungu, ukiwa na kivuli kwenye sadaka za Agano la Kale. Tunapoweka imani yetu kwa Yesu, tunakuwa chini ya agano jipya kuliko agano la Israeli ya kale.



Wakati Kumbu Kumbu la Torati 33 inaonesha makabila kumi na mawili ya Israeli kukiwa na nabii mbali mbali, kwa neema ya Yesu tunarithi " kila baraka ya kiroho za mbinguni" (Waefeso1:13).



Kwa sababu hakuna yeyote kama Mungu wetu, hakuna yeyote kama watu wake. Wana wa Israeli wa Agano la Kale walizaliwa kwa asili katika familia ya Mungu wakati sisi tumezaliwa upya kwa roho wake (Yohan 1:11-13; 3:3). Haki ya uzaliwa haikuwa bora zaidi. Zote zilihusiana na wokovu. Zote zilikuwa ni kwa neema tuu.



Angali dhana katika Kumbu Kumbu la Torati 33:29. " U heri, Israeli! Ni nani aliye kama wewe, taifa _________________________?”



Kwa watu wa imani, asili ya nguvu yetu ni nzuri sana. Ni sisi tunaojua Mungu ni nani. Hata hivyo, kama hatuunganishi na utambulisho wake na wetu, bomba lililojengwa na msalaba kutuunganisha na nguvu ya kimungu linazibwa na kutokuamini.



Hebu tuchukue mtazamo mwingine na swalinani? 



Soma Mwanzo 3:1-13. Fuatilia jibu la swali “Ni nani aliyekuambia ya kuwa?” ili kupata chanzo cha swali. Ni nani aliyewaambia kitu cha kupotosha kilichowaongoza kutenda dhambi? Tutajadili somo hili la kupotosha zaidi kesho.


siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

The Quest

Katika siku hizi 7 za kusoma na kujifunza, Beth Moore anatumia maswali kutoka katika Maandiko Matakatifu ili kukuongoza kwenye uhusiano wa ndani zaidi na Yeye anayekujua vizuri. Alama za uandishi zilizopotoka mwisho wa s...

More

Tungependa kumshukuru Beth Moore na LifeWay Women kwa kutupa mpango huu. Kwa taarifa zaidi tembelea: http://www.lifeway.com/thequest

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha