Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaMfano

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

SIKU 4 YA 12

Uponyaji Katika Sabato

Mwalimu wa sheria akasirika Yesu alipoponya siku ya Sabato.

Swali 1: Viongozi wa dini walitilia manani mila juu ya hitaji ya binadamu. Ni kwa njia gani kanisa hufanya hivyo katika dunia ya leo?

Swali 2: Elezea njia zile ambapo unaweza kutenda mema hata ikiwa ni kinyume cha utamaduni wako.

Swali 3: Kama ungelikuwa kanisani siku ile Yesu alimponya mtu mwenye mkono uliojikunja, maoni yako yangekuwa yapi?

Andiko

Kuhusu Mpango huu

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg