Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaMfano

Yesu Anamponya Mvulana Aliyekuwa na Pepo
Yesu afukuza pepo chafu kutoka kwa kijana, na wote washangazwa juu ya nguvu za Mungu.
Swali 1: Fikiria kuhusu wakati ambapo ulidhani ulikuwa unatenda kwa imani, kama wanafunzi katika kifungu hiki. Matokeo yalikuwa nini?
Swali 2: Unapofikiria jinsi wanafunzi walivyoweza kujisikia, eleza wakati ambapo ulijaribu kufanya jambo kwa Mungu kwa imani lakini ukashindwa. Unadhani ni nini kilisababisha kushindwa, na ulihisi vipi wakati huo?
Swali 3: Kulingana na mafundisho ya Yesu kuhusu sala na imani, unadhani Wakristo wengi leo wangeshughulikaje na kukutana na pepo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg


