Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku/ Aprili 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku/ Aprili 2023

SIKU 16 YA 30

Familia ya Yakobo ilipohamia Misri walikuwa watu sabini. Awali walikuwa na furaha na mafanikio tele. Matokeo yake ni kuongezeka kiasi cha kuwa tishio kwa Wamisri. Hii ilisababisha mtawala mpya wa Misri kuhofia kuwa endapo maadui wangewashambulia Wamisri, Waisraeli wangejiunga nao. Ili kuwapunguza, aliamua kuwatumikisha kwa nguvu wakijenga miji atakayoitumia kuweka akiba. Lakini kwa kadri alivyowatesa Waisraeli kwa ukali, na maisha yao kuwa machungu, ndivyo Mungu alivyowabariki wakaongezeka.

siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku/ Aprili 2023

Soma Biblia Kila Siku/Aprili 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kat...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha