Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Hadithi ya KrismasiMfano

Hadithi ya Krismasi

SIKU 4 YA 5

Wataalamu Wa Nyota Wafika Kumwona Mtoto Yesu




Waatalamu wa nyota kutoka mashariki wafuata nyota ikielekea aliko Yesu.

Swali 1: Nyota iliwaongoza watu wenye busara kwa Yesu. Unaongozwa na nini kwake?

Swali 2: Wanawali walimletea Yesu zawadi zipi? Je, sisi tunaweza kumletea Yesu zawadi za

aina gani ili kumshukuru?

Swali 3: Marafiki zako wangelionaje kwa wazo kwamba ingawa Yesu akiwa mtoto wa miaka

miaka miwili, watu maarufu na wenye elimu walimwabudu.

Andiko

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Krismasi

Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha