Hadithi ya Krismasi: Siku 5 kuhusu Kuzaliwa kwa YesuMfano

Kuzaliwa Kwa Yesu
Yesu azaliwa Bethlehemu, na wachungaji waja kumuona.
Swali 1: Wanadada, kama mngekuwa Maria, ni aina gani ya hofu na wasiwasi ungekuwa nayo
juu ya safari hii?
Swali 2: Wachungaji walieneza habari kumhusu Yesu. Je, jamaa yako ama jamii yako walipataje
habari hizi?
Swali 3: Je kufahamu kwamba Yesu anaweza kutuoko kutoka kwa wakati wa dhoruba ya kutisha
kunaweza kuimarishaje imani yetu kwake?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg