Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Hadithi ya KrismasiMfano

Hadithi ya Krismasi

SIKU 1 YA 5

Kuzaliwa Kwa Yesu Kwatabiriwa




Malaika Kamtembelea Maria.

Swali 1: Una maoni gani baadhi ya matokeo yenye Mary alikuwa ana kabiliana nayo kutokana na

mimba ya kimuujiza?

Swali 2: Ni kitu gani kinachokusababisha kuamini Yesu alizaliwa na bikira? Kuna ushahidi gani

kuthibitisha hayo?

Swali 3: Katika jamii yako, watu wangefikiria nini na kusema yapi kuhusu mwanamke ambaye

amepata mimba nje ya ndoa, hasa ikiwa anajulikana kuwa ni Mkristo?

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Krismasi

Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha