Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuMfano

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

SIKU 5 YA 28

Tumaini la Biblia linamtegemea Yesu kwa kuwa ni yeye pekee anayeweza kutoa “tumaini lililo hai” kupitia kifo na ufufuo wake kwa wote wanaomwamini. Kwa maneno mengine, tumaini analotoa Yesu ni “hai” kwa sababu yeye mwenyewe yuko hai na hutoa uzima wa milele kupitia kwake. Tunapoweka tumaini letu kwake, hatutavunjwa moyo, na tutaishi naye milele. 


Soma: 


1 Petro 1:3-5 


Tafakari:


Unagundua nini unavyosoma kifungu hiki? 


Angalia jinsi kifungu hiki ni sifa inayoelekezwa kwa Mungu. Chukua muda kumsifu Mungu kwa sala yako mwenyewe. 





siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihu...

More

Tungependa kushukuru BibleProject kwa kutoa Mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha