Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuMfano

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

SIKU 4 YA 28

Uaminifu wa Mungu wa siku zilizopita huchochea tumaini la wakati ujao. Tunaweza kutazamia yajayo kwa tumaini kwa kuangalia nyuma ili kukumbuka jinsi Mungu amekuwa mwaminifu. Ikiwa alikuwa mwaminifu wakati ule, kwa nini asiwe mwaminifu tena? 


Soma: 


Waebrania 10:23 


Tafakari: 


Kumbuka njia tatu mahususi ambazo Mungu ameonyesha upendo wake kwako na jumuiya yako katika siku zilizopita. 


Je kumbukumbu zako za upendo mwaminifu wa Mungu zinakupatia tumaini vipi leo? Geuza tafakuri hizi kuwa mazungumzo na Mungu. Waambie wengine upendo wake mwaminifu umemaanisha nini kwako na jinsi unavyotaka kumwona akiwa mwaminifu tena leo.

Andiko

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihu...

More

Tungependa kushukuru BibleProject kwa kutoa Mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha