Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuMfano

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

SIKU 6 YA 28

Habari njema zinaonyesha kuwa kiukweli, roho wa Yesu anaweza kuishi ndani ya wanadamu na kuwawezesha kuona ukubwa wa uwepo wa Mungu. Mtume Paulo aliliita hili fumbo, “Kristo ndani yako, tumaini la utukufu.” 


Soma: 


Wakolosai 1:25-29 


Tafakari:


Ni maneno au vifungu vipi vinajitokeza kwa upekee kwako unavyoangalia kifungu hiki?


Tafakari fumbo kuwa roho wa Yesu anaweza kuishi ndani ya watu wanaomwamini. Unavyolitafakari hili, geuza maswali yako, mastaajabu na mshangao wako kuwa ombi kwa Mungu. 





siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

 BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihu...

More

Tungependa kushukuru BibleProject kwa kutoa Mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha