Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 26 YA 35

Je, unahusikaje na sumu za kitamaduni unapokutana nazo? Unawajibika kwa kuuliza maswali haya: 1.) Je, ninajipendeza na dhambi? 2.) Je, hii inampendeza Mungu? na 3.) Je! hii inanivutia kando na Kristo? ⏎ ⏎Ni mambo gani unayoweza kufanya kuondoa kabisa sumu za kitamaduni katika maisha yako?
siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakus...

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha