Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 1 YA 35

Mawazo yetu ni muhimu sana. Fikira kweli ina umuhimu kwa sababu unachofikiri huamua nini unachokuwa. Kwa bahati mbaya, wengi wetu huelekea kuwa mateka kwa mawazo ya sumu, badala ya kuyalenga mawazo yetu juu ya ukweli wa Mungu. Wiki hii utasoma kutoka kwa Neno la Mungu juu ya hatari za mawazo ya sumu na jinsi unavyoweza kuteka nafasi yao kwa ukweli wa Mungu. ⏎ ⏎Je! mawazo yako ya sumu yanaathiriaje maisha yako na uhusiano wako?

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakus...

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha