Kuishi mabadiliko ya Mungu.Mfano
1 Wakorintho 6:19-20 inatupatia ukumbusho kuhusu umuhimu wa mabadilisho apana tu ya iliyo ndani yetu, ila pia yaliyo inje . Fikiria hiyo kidogo tu. Mwili zetu ni hekalu la Roho Mtakatifu na inatubidi kuichukua kama hivyo. Unaweza kubali kamba jengo la kanisa yenu ibomolewe na kuanguka chini? Kabisa jibu ni apana! Ikiwa kama matengenezo inahitajika kwa jengo la kanisa, uta fanya upya hiyo kanisa ili isimame ikingaa kuonesha upendo wa Kristo ndani ya ujamii wako. Ndio maana, je, hatuwezi shugulikia mili zetu namna moja na mara kwa mara kuzifanya upya ili ziweze kubeba madhumuni ya Mungu kwa maisha yetu? Kwa hali gani unahitaji kufanya upya mwili wako? Kufanyika upya kunaonekanaka tofauti mbele ya kila mtu. Kwa wamoja inahitaji tu mazowezi kidogo tu ama kurekebisha chakula hutumia. Inaweza kua haja ya uponyaji wa mwili. Kwa wengine, inaweza kua kuruhusu Mungu kufanya upya kutoka maisha yako yakale ya ngono. Tafutisha mahali pale ambapo unahitaji kufanyika upya mwilini na ruhusu Mungu mungu kuponya mwili wako.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kua kiumbe kipya ndani ya Kristo inamaanisha kwamba tukonafanyika upya mara kwa mara kumupitia. Mungu hufanya upya roho zetu, akili, na mwili. Anafanya upya pia hata madhumuni yetu. Kati ya siku hizi 5 za mpango wa usomaji, utapiga mbizi zaidi ndani ya Neno ambalo Mungu husema kuhusu kufanyika upya. Kila siku, utapata usomi wa Bibilia na ibada kwa ufupi ambayo itakusaidia kwa njia kadhaa ya kuishi pia kufanyika upya na Mungu.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church