Badilika: Hatua zinazofuata kwa maisha yaliyobadilika

Wiki sita

uamuzi wako wa kumkubali Kristo kama mkombozi wako, umebadilishwa milele. Ya kale yameisha. Wewe ni kiumbe kipya. Haijalishi kuwa wewe ni mfuasi mpya wa Kristo au umekuwa ukimfuata kwa muda mrefu, Mpango huu utakusaidia kupata ufahamu bora wa wewe ni nani ndani ya Kristo na nini maana ya kuwa mfuasi wa Kristo. Kupata hisia bora ya utambulisho wako ndani ya Kristo itakusaidia kusongo mbele katika hatua zako za kutimiza yale yote Mungu amekuita kufanya.Kubadilika.

Mchapishaji

Tungependa kushukuru LifeChurch.tv kwa kuunda mpango huu. Kwa maelezo zaidi tembelea: www.lifechurch.tv

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 100000 wamemaliza