Vitendo vya TobaMfano

Toba inasababisha msamaha Tunatubu na Mungu anasamehe Toba na msamaha sio sera ngumu Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Wakati mchakato huu ni rahisi, nguvu za msamaha wa Mungu haufikiriki. Msamaha wa Mungu unatoa kila giza katika maisha yetu na kutuleta katika mwangaza bila kujali dhambi tulizo tenda. Msamaha wa Mungu unafunika dhambi ZOTE pamoja na zako Je nguvu za ukombozi wa Mungu umebadili na kuadhiri vipi maisha yako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Toba ni moja ya hatua muhimu sote huchukua tunapokuja kumjua Yesu kristo kama mwongozi wa maisha yetu. Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Ndani ya siku tano na kupitia masomo haya, utapokea somo la biblia kila siku na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kuelewa vyema umuhimu wa toba katika kutembea kwetu na Kristo.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church
Mipangilio yanayo husiana

Kuishi mabadiliko ya Mungu.

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.

Kuondoa Sumu katika Nafsi

Kutumia muda wako kwa ajili ya Mungu

Mpango Bora wa Kusoma

Kuamini Mungu ni vyema Bila kujali lolote

Badilika: Hatua zinazofuata kwa maisha yaliyobadilika

Kuongea na Mungu kwa Maombi

Soma Biblia Kila Siku 09/2025
