Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!Mfano

Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!

SIKU 6 YA 6

“Kwa   Kuhitimisha”
 

  Kama hujawahi kumpokea Yesu katika maisha yako, au uliwahi kufanya hivyo   wakati fulani,lakini huendelei kuishi kwa ajili Yake, unaweza kufanya uamuzi   mpya Kwake LEO, kwa kukiri sala rahisi kutoka moyo ulio mkweli. Sala hiyo   inaweza kuwa namna hii, 
 

  “Yesu, Najua ya kwamba mimi ni mwenye dhambi, na ni wewe pekee unayeweza   kuniokoa na adhabu ya dhambi. Nakuomba uje katika maisha yangu na kuniosha   mbali na dhambi zote. Nisaidie kuweza kuishi kwa ajili yako katika maeneo   yote ya maisha yangu, kila siku ya maisha yangu. Ahsante kwa kuja katika   maisha yangu na kuniweka huru!”

 

Kama   umeomba sala hii kwa moyo wa kweli, ukiamini Yesu atafanya Aliyosema   atafanya, utakuwa umepokea wokovu, na kubadili hatima yako ya milele na hivyo   kuwa Naye milele! Hongera!

Kama   umefanya uamuzi wa kumfuata Kristo, tungependa kusikia kutoka kwako, na kukupa masomo ya Biblia ya Kila Siku ya   ziada kutoka Programu ya Biblia ya “YouVersion” na kukusaidia katika safari   yako mpya. Tafadhali chagua kiunganishi cha hapo chini:

Nimeamua Kumfuata Yesu! 

Andiko

siku 5

Kuhusu Mpango huu

Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!

Maamuzi mengi katika maisha huwa na athari fulani. Hata hivyo, ni uamuzi mmoja tu ndio muhimu zaidi. Kama unatafuta maelekezo rahisi ya kukuwezesha kuelewa kwa undani juu ya uamuzi huu wa ajabu – zawadi ya bure ya wokov...

More

Tungependa kuwashukuru Twenty20 Faith, Inc. kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.twenty20faith.org/yvdev2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha