Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ndani ya mahali petu: Kwaresima ya ibada kutoka muda wa neemaMfano

In Our Place: Lenten Devotions

SIKU 11 YA 14

Ninani alie ifanya?

Kuna lawama mengi kuhusu kusulubiwa ya kutisha wa Yesu Kristo. Viongozi vya dini ya Waisraeli walipanga kuhusu kukamatwa kwake usiku. Yuda alimsaliti kwa busu. Watawala wa Wayahudi walihakikisha kuunda hatia juu yake. Sheria la Waroma walimutoa kwa ukimya wa kundi la watu.

Je, yakushaza kujua kama nyuma ya hukumu hii yote kulikua mkono wa hukumu ya Mungu Baba? Kweli kabisa! Nabii Isaya alituchukua nyuma ya ubao kwa sisi kutazama ukweli wa maana ya mateso na kufa kwa Kristo. "Mwenyezi-Mungu alipenda kumwumizana kumweka katika huzuni ... [kufanya] maisha yake kama sadaka ya hukumu" (Isaya53:10). Tuka miongoni mwa waliona hatia yaku muhukumu kwa kifo, kwa sababu dhambi zetu hutufaya kua washirika. Mungu Baba alimuhukumu mahali ya sis, aliweka mgongo wake kwa viboko na misumari kwa sababu ulimwengu wenye dhambi ilikua ikihukumiwa

Ila kwa vidonda vya Kristo tume pona. Kwa kupitia mabadilishiano ya kimungu, hukumu yetu iliwekwa juu yake na utakatifu wake ukawekwa juu yetu. Kupitia imani yako ndani ya Kristo, Baba anakutazama kama mtu ambaye haja fanya dhambi, kama wewe ni mtakatifu kama Mwana wake.

Andiko

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

In Our Place: Lenten Devotions

Hii mpango ya usomaji itakuongoza ndani ya somo ya kwaresima, ambayo hutupeleka kwa historia za ajabu ya matezo, hukumu, na kufa kwa Yesu Kristo kwa nafasi yetu.

More

Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: www.timeofgrace.org