Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Furaha ya Yesu ilikuwa kujua kwamba kila nguvu ya hulka yake ilikuwa katika maelewano na Mungu hadi alifanya mapenzi ya Mungu kwa furaha. Wengine wetu wanakawia kufanya matakwa ya Mungu; tutayafanya kana kwamba viatu vyetu ni chuma na risasi; tunayafanya tukisita na tukinuna, kana kwamba atakalo lifanyike ni ngumu zaidi kuliko vitu vyote vinginevyo ulimwenguni. Lakini matakwa yetu yanaporekebishwa na kuletwa katika maelewano na Mungu, itakuwa furaha, furaha unaofurika, kufanya atakalo lifanyike Mungu.
Ongea na watakatifu kuhusu mateso na watakutazama kwa mshangao. “Mateso? Mateso yapi?” Mateso ni jambo la tafsiri. Kwa mtakatifu ni furaha mpwitompwito ndani ya Bwana; si furaha kwa mateso, bali ikiwa ni matakwa ya Mungu nipitie mateso, nitafurahia mapenzi yake Mungu.
Maswali ya Kutafakari: Mbona ninakawia kufanya atakalo Mungu? Ni imani bandia ipi inanifanya nifikirie kwamba Mungu hataki nifurahi? Ni wakati upi nimehisi furaha ya kufanya matakwa ya Mungu?
Dondoo zimetoka "The Moral Foundations of Life", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org
Mipangilio yanayo husiana

Kuutafuta Moyo wa Mungu kila Siku - Hekima

Waliochaguliwa: Jikumbushe Kuhusu Injili Kila Siku

Kuishi kwa Roho: Ibada Pamoja na John Piper

Mwaka Mpya, Rehema Mpya

Kuamini Mungu ni vyema Bila kujali lolote

Kutumia muda wako kwa ajili ya Mungu

Yote ni Utulivu: Kupokea Pumziko la Yesu Krismasi hii

Soma Biblia Kila Siku 11/2025

Soma Biblia Kila Siku 07/2025