Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Pima kilele cha furaha yako katika ukweli na furaha ya Mungu kupitia hiyo ndogo iliyo wazi kwako. Kuna mengi ambayo Mungu bado hajatufunulia kuhusu hulka yake, na lazima tuiname kwa subira mpaka Mungu atakapoweza kufunua haya mambo ambayo ni kama giza. Hatari ni kwamba isije tugeuze ukweli mdogo tunaojua kuwa mnara ambao tunajiweka ili kuhukumu wengine. Ni rahisi sana, kwa athari yetu, kufanya ujuzi wetu wa Mungu kuwa kama risasi iliyoyeyuka na kuimwaga katika umbo unaotupendeza kisha inapopoa na kuwa ngumu, tunavitupia vichwa vya watu wanaomcha Mungu lakini hawakubaliani nasi.
Kugundua kwamba kuchaguliwa kwa neema kupitia kufanywa upya, na kwa hivyo kukamilishwa ili kumtukuza Mungu, ni ugunduzi wa furaha zaidi.
Maswali ya Kutafakari: Ni nini iliyo wazi kwangu kuhusu Mungu? Inatosha kunipa furaha bila kunifanya niwe mwenye hukumu? Ikiwa yote ambayo ninajua kuhusu Mungu ni yote ambayo yapo kujulikana kuhusu Mungu, nina sababu gani ya kufurahi?
Dondoo zimetoka "Notes on Isaiah" na "Notes on Ezekiel", © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org
Mipangilio yanayo husiana

Kuutafuta Moyo wa Mungu kila Siku - Hekima

Waliochaguliwa: Jikumbushe Kuhusu Injili Kila Siku

Kuishi kwa Roho: Ibada Pamoja na John Piper

Mwaka Mpya, Rehema Mpya

Kuamini Mungu ni vyema Bila kujali lolote

Kutumia muda wako kwa ajili ya Mungu

Yote ni Utulivu: Kupokea Pumziko la Yesu Krismasi hii

Soma Biblia Kila Siku 07/2025