Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Solomoni alikuwa na kila kitu ambacho mtu angetamani maishani, alikuwa na uwezo wa kujitosheleza kwa kila njia; alijaribu unyama, alijaribu usafi wa kupindukia, alijaribu urembo, alijaribu usomi lakini, anasema, huwezi kupata furaha inayodumu katika njia hizo. Furaha inapatikana katika uhusiano wako na Mungu unapoishi hapa duniani, ambapo ulitoka na ambapo utarudi. Vumbi ni kipengele bora zaidi cha binadamu, kwani inadhihirisha utukufu wa Mungu.
Kile ambacho Mungu aliumba kinamridhisha, lakini kabla tumjue hatutajali kuhusu vitu vingi vilivyoumbwa. Tukimfahamu Mungu tutafurahia uumbaji wake kama vile yeye anaufurahia. Mtoto anafurahia vitu ambavyo Mungu ameumba, kila kitu ni cha ajabu kwake.
Maswali ya Kutafakari: Ni nini zaidi ambacho ninafikiri ninahitaji ili kuwa na furaha? Ni nini maana ya kufurahia uumbaji wa Mungu? Mbona ninaona mavumbi kuwa laana badala ya baraka?
Dondoo zimetoka "Still Higher for His Highest" na God’s Workmanship, © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org
Mipangilio yanayo husiana

Kuutafuta Moyo wa Mungu kila Siku - Hekima

Waliochaguliwa: Jikumbushe Kuhusu Injili Kila Siku

Kuishi kwa Roho: Ibada Pamoja na John Piper

Mwaka Mpya, Rehema Mpya

Kuamini Mungu ni vyema Bila kujali lolote

Kutumia muda wako kwa ajili ya Mungu

Yote ni Utulivu: Kupokea Pumziko la Yesu Krismasi hii

Soma Biblia Kila Siku 07/2025