Zaburi 73:19-20
Zaburi 73:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanaangamizwa ghafla, na kufutiliwa mbali kwa vitisho. Ee Bwana, uinukapo, wao hutoweka mara, kama ndoto wakati mtu anapoamka asubuhi.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Namna gani wameangamizwa punde! Wakafutiliwa mbali kwa vitisho. Ee Bwana, wamekuwa kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 73