Zaburi 73:19-20
Zaburi 73:19-20 NEN
Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, wanatoweshwa kabisa na vitisho! Kama ndoto mtu aamkapo, hivyo wakati uinukapo, Ee BWANA, utawatowesha kama ndoto.