Methali 20:24-25
Methali 20:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda? Ni hatari kusema kwa mzaha “Usiahidi kumpa Mungu kitu bila kufikiri, la sivyo utaanza kusikitika baada ya nadhiri yako.”
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake? Ni mtego, mtu aseme kwa haraka, Kitu hiki ni wakfu; Na baada ya kuweka nadhiri kuulizauliza habari.
Shirikisha
Soma Methali 20