Mithali 20:24-25
Mithali 20:24-25 NENO
Hatua za mtu huongozwa na BWANA. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake.