Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 20:24-25

Mit 20:24-25 SUV

Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake? Ni mtego, mtu aseme kwa haraka, Kitu hiki ni wakfu; Na baada ya kuweka nadhiri kuuliza-uliza habari.

Soma Mit 20