Mathayo 5:32
Mathayo 5:32 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na yeyote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa, anazini.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Shirikisha
Soma Mathayo 5