Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:17-18

Zaburi 103:17-18 BHN

Lakini fadhili za Mwenyezi-Mungu hudumu milele, kwa wale wote wanaomheshimu; na wema wake wadumu vizazi vyote, kwa wote wanaozingatia agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.

Soma Zaburi 103

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 103:17-18