Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 103:17-18

Zab 103:17-18 SUV

Bali fadhili za BWANA zina wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ina wana wa wana; Maana, wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 103:17-18