Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 24:33-34

Methali 24:33-34 BHN

Lala tu kidogo; sinzia tu kidogo! Kunja mikono yako tu upumzike! Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.

Soma Methali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 24:33-34

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha