Methali 24:33-34
Methali 24:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Lala tu kidogo; sinzia tu kidogo! Kunja mikono yako tu upumzike! Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Shirikisha
Soma Methali 24