Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:33-34

Mithali 24:33-34 NEN

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: na umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.