Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 14:5-6

Methali 14:5-6 BHN

Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo. Mwenye dharau hutafuta hekima bure, lakini mwenye busara hupata maarifa kwa urahisi.

Soma Methali 14