Methali 14:5-6
Methali 14:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo. Mwenye dharau hutafuta hekima bure, lakini mwenye busara hupata maarifa kwa urahisi.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. Mwenye dharau hutafuta hekima, asiipate; Bali maarifa huwa mepesi kwa mwenye ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 14