Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:5-6

Mithali 14:5-6 NENO

Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo. Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua.