Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:13-14

Wafilipi 2:13-14 BHN

kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe. Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi