Wafilipi 2:13-14
Wafilipi 2:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe. Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake jema. Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake jema. Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano
Shirikisha
Soma Wafilipi 2